Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: Stamina ammwagia sifa mke wake mtarajiwa ‘nimemchuguza sana’

Baada ya juzi rapa Stamina kuonekana akivalisha pete mchumba wake wa muda mrefu, amefunguka kumzungumzia mrembo huyo pamoja na kueleza sifa zake. Rapa huyo ambaye anaunda familia ya Rostam akiwa na Roma, amesema hajakurupuka kumvalisha pete mke wake huyo mtarajiwa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW