Videos
Video: Super Nyamwela – Saula
Muimbaji na mnenguaji mkongwe wa muziki wa dansi, Hassan Musa maarufu kama Super Nyamwela ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Saula’. Wimbo umetayarishwa na producer Hizam na video imeongozwa na director O-Key.