Michezo
Video: Tazama alichokifanya Rais Obama alipokutana Usain Bolt
Rais wa Marekani, Barack Obama wiki iliyopita alitembelea nchini ya Jamaica na alikutana na mtu mwenye kasi na nguvu duniani, Usain Bolt. Obama alifurahisha watu pale alipopiga picha kupozi kama Usain Bolt kwa mtindo wake wa ‘lightning pose’
http://youtu.be/WvyMDt0JC0I
Obama amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kutembelea kisiwa hicho tangu 1982.