Tia Kitu. Pata Vituuz!

Video: Tazama behind the scenes ya utengenezaji wa video ya ‘Kamatia’ ya Navy Kenzo iliyofanyika S.A

Ni takribani wiki mbili zimepita toka Navy Kenzo waachie video mpya – ‘Kamatia’ ambayo ni video yao ya pili kubwa baada ya ‘Game’ iliyotoka mwaka jana, na zote zikiwa zimeshutiwa Afrika Kusini na muongozaji Justin Campos.

navy

‘Kamatia’ ni miongoni mwa video bora za wasanii wa Tanzania zilizoachiwa kwa mwaka huu hadi sasa, na kuna dalili nyingi kuwa itazidi kuwafungulia njia ya kimataifa Navy Kenzo.

Navy Kenzo inayoundwa na Nahreel pamoja na girlfriend wake Aika wametoa video ya ‘Behind The Scene’ inayoonesha jinsi ilivyokuwa wakati wa uchukuaji wa picha za video ya ‘Kamatia’.

Tazama BTS za ‘Kamatia’

Tazama video yenyewe ya ‘Kamatia’

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW