Burudani

Video: Tazama filamu waliyocheza One The Incredible, Wakazi, Fid Q, Songa na wengineo

Baadhi ya wasanii wa hip hop Bongo na ma-producer wamejikusanya na kutoa filamu inayokwenda kwa jina la Bongo Flava.

Walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na One The Incredible, Wakazi, Fid Q, Makamua, Godliver, Karabani, Lamar, Songa, Saigon, J Nkwabi, Salu T, Silipa na Nkwabi.

Baadhi ya nyimbo zilizosikika katika filamu hiyo ni kama Juhudi za Wasiojiweza ya Fid Q aliyomshirikisha Bibi Kidude, Haya Maisha ya One The Incredible aliyomshirikisha Songa, Mara Hoo ya Bou Nako aliyomshirikisha JCB na Sugua Gaga ya Shaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents