Habari
Video: Tazama kipande cha single ijayo ya Wahu ‘For You’
Baada ya kimya cha muda, muimbaji wa Kenya, Wahu Kagwi anatarajia kurejea tena na single mpya iitwayo ‘For You’. Kitazame kipande hicho hapa.
http://www.youtube.com/watch?v=WDXqoiU0-Tw&feature=youtu.be