Michezo

Video: Tazama mabondia walivyotunishiana misuli kabla ya pambano

Bondia kutoka Tanzania, Saleh Mtalekwa amesemakuwa haingii ulingoni kuuza sura bali ni kufanya kazi hivyo hakuitaji kujua uwezo wa mpinzani wake raia wa Uganda, Weiswe Juma kuwania ubingwa wa Afrika kilo 67.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents