Bongo Movie
Video: Teaser ya filamu ya ‘Kisogo’ ya Wema na Gabo
Kampuni ya filamu, Sarafu Media imezindua filamu yake fupi ‘Kisogo’ iliyowashirikisha wakali wawili wa filamu, Gabo Zigamba pamoja na Wema Sepetu.