Aisee DSTV!
SwahiliFix

Video: Tembea – Irene Robert

Msanii wa Muziki wa injili kutoka Tanzania Irene Robert badaa ya kukamata anga la Muziki wa injili Tanzania na nje ya mipaka kwa wimbo wake uitwao kishindo, Sasa ameshusha wimbo Mpya wa Video Uitwao Tembea.

Kazi ya video imefanya na Enxer na audio ikifanyika pale Masai Record chini ya producer Yusuph Manamba. Yuko chini ya Lebo ya Famara Promotion.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW