Habari

Video: The Session with Mona Gangsta (Classic Sounds)

Mona Gangster anafahamika zaidi kwa kutengeneza hits za Belle 9 na Young Killa. The Session ya wiki hii imemtembelea kwenye studio yake ya Classic Sounds. Katika show hii Mona ameelezea mradi wake wa kutengeneza wimbo mahsusi kwa vijana waliokata tamaa na mwisho kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Mtazame pia jinsi anavyokuwa kwenye mchakato wa kutengeneza beat.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents