Burudani

Video: The Tattoo – Episode 1 (A)

The Tattoo ni kipindi kinachohusu masuala ya michoro (Tattoo) kujua historia za michoro hiyo na tafsiri zake, Ambapo katika kuchora tattoo kuna waliofurahia na wengine kujutia. Kupitia hapa Bongo5 utaweza kuona historia yake na mambo mengine mengi usioyajua kuhusu tattoo: Tazama video hii, Bongo5 imemtafuta mchoraji tattoo anaejulika kwa jina la Yuzo Tattoo.

Kipindi hiki kitakuwa hewani kila Ijumaa saa 7:30 Mchana usikose kutazama kupitia YouTube channel ya Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents