Burudani

Video: The Tattoo – Episode 1 (B)

By  | 

The Tattoo ni kipindi kinachohusu masuala ya michoro (Tattoo) kujua historia za michoro hiyo na tafsiri zake, Ambapo katika kuchora tattoo kuna waliofurahia na wengine kujutia. Kupitia hapa Bongo5 utaweza kuona historia yake na mambo mengine mengi usioyajua kuhusu tattoo: Tazama video hii, Bongo5 bado ipo na mchoraji tattoo anaejulika kwa jina la Yuzo Tattoo.

Kipindi hiki kitakuwa hewani kila Ijumaa saa 7:30 Mchana usikose kutazama kupitia YouTube channel ya Bongo5.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments