Uncategorized
Video: Thomas Ulimwengu awataka wapinzani wao Simba wajiandae ‘Wenyewe wanasema timu nzuri, wajiandae’
Mshambuliaji wa JS Saoura raia wa Tanzania, Thomas Ulimwengu amewataka wapinzani wao Simba kujiandaa vema kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika.