Bongo Movie

VIDEO: Timamu amuumbua Duma achambua mapungufu ya Movie ya Nipe Changu

VIDEO: Timamu amuumbua Duma achambua mapungufu ya Movie ya Nipe Changu

Director ya Timamu na Movie mbalimbali hapa nchini Tanzania mfano Sema na Mdundiko Timoth ameeleza kila kitu kilichotokea kwenye Movie ya Nipe cghangu ya bwana Duma na kusema kuwa stori ya Movie nzima ilikuwa ya kuungaunga.
licha ya Director huyo kuongelea movie ya Nipe Changu pia amegusia inshu ya muigizaji alipotea kwa sasa katika kundi la Timamu alimaarufu mama Ashura na kusema haya;-

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents