Burudani
Video: Tommy Thommass Ft Becka Title – Torati
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Tommy Thommass akiwa na kazi mpya ya ‘Torati’ ikiwa imetayarishwa na Mona Gangastar na ndani ya ngoma hiyo amepata nafasi ya kumpa shavu Becka Title.
https://youtu.be/AEe8ejlmwfY