Michezo

Video: Toni Kroos aiokoa Ujerumani, yasikie haya kutoka kwa mashabiki wa Dar

Goli la Toni Kroos la dakika za lala salama zimeweza kuiokoa timu ya Ujerumani ambayo ilionekana kupoteza matumani ya kugombania nafasi ya kuingia 16 katika michuano ya Kombe la Dunia. Kwa sasa mabingwa hao watetezi wana matumaini ya kuingia 16 bora baada ya kushinda mechi hiyo na kuwafanya kuwa na pointi 3 huku Mexico akiongoza kundi hilo kwa kuwa na pointi 6.

Unaweza kuangalia mechi zote za Kombe la Dunia kupitia App ya Kwesse Iflix. Vodacom wamekuandalia bando maalum linaloweza kukufanya ufurahie mechi zote bila kukwama, unachotakiwa kufanya ni kupiga *149*01# kisha chagua intaneti halafu chagua KWESE IFLIX VIDEO kufurahia uhondo huu . #dstvnimotošŸ”„šŸ”„ #DStvnimoto #ConnectWithGreatnes Kwa habari hizi na nyinginezo ungana nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii muda huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents