Videos
Video: Trailer ya comedy ya Mzee Majuto na Monalisa ‘Daladala’
Daladala ni Stori inayohusu vituko vinavyotokea kwenye daladala, mwanzo wa safari hadi mwisho. Kwenye filamu ya Daladala utakutana na Mzee Majuto, Suleimani Barafu bila kumsahau Monalisa. Filamu hii inatarajia kuingia sokoni tarehe 7/12/201. Filamu imefanywa na kampuni ya Leo Media Content.