Burudani

Video: Trailer ya movie aliyoigiza Sylvester Stallone, Arnold Schwarzenegger na 50 Cent – Escape Plan

Sylvester Stallone na Arnold Schwarzenegger wanarejea tena kwenye action na movie mpya Escape Plan. Awamu hii wamempa shavu 50 Cent.

Filamu hiyo inatarajiwa kutoka October 18, 2013.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents