Burudani

Video: Trela ya ‘Proud Mary’ ya Taraji P Henson

Muigizaji wa Hollywood, Taraji P. Henson a.k.a Cookie aliyejipatia  umaarufu zaidi kupitia tamthilia ya Empire kwa sasa tutamuona katika filamu mpya ya ‘Proud Mary’.

Filamu hiyo inatarajiwa kutoka  Januari, 12 mwaka 2018. Taraji  ataigiza kama Mary katika filamu hiyo ambayo imewakutanisha watu kama Danny Glover, Jahi  Di’Allo Winston na Billy Brown.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents