Soka saa 24!

Video: Tuheshimu hisia za Muna Love akiwa kama mzazi  wa mtoto – Irene Paul 

Video: Tuheshimu hisia za Muna Love akiwa kama mzazi  wa mtoto - Irene Paul 

Muigizaji wa filamu nchini, Irene Paul amesema kuwa nilazima watu waheshimu hisia za mwanadada Muna Love kama mzamzi na kamwe hastaili kulaumiwa hii inakuja baada ya mfiwa huyo kuzungumza na vyombo vya habari hapo jana zikiwa zimepita siku chache tu toka kumzika mwanae Patrick.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW