Video: Tukinyimwa tiketi za kwenda kwenye party ya Tiffah tutaandamana – Shilole

Msanii wa muziki, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba anamkubali sana Zari kwa kuwa ni mwanamke ambaye ana akili nyingi sana. Muimbaji huyo amedai atahakikisha anakwenda kwenye bithday party ya mtoto wa Diamond, Tiffah ili akaonane na wifi yake Zari.

Related Articles

One Comment

Bongo5

FREE
VIEW