Michezo

VIDEO: Tunazindua Logo mpya ya Simba, Jezi ya msimu 2020/21, Wachezaji wapya  – Haji Manara

Afisa habari wa Mabingwa wa nchi, Haji Manara amesema kuwa kesho tarehe 14/08/2020 klabu ya Simba inatarajia kuzindua wiki yao maarufu kama Week ya Simba ambayo inatarajiwa kilelechake kuwa ni tarehe 22/08/2020.

Manaraamesema kuwa week hii ya Simba itaitwa Champions Week, huku akitupa dongo gizani kwa kusema ”Wiki hii Mabingwa wanajinafasi. Tunaomba Watanzania wengine watuachie wiki yetu, tunalo jambo letu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents