Michezo
Video: ”Tupo vizuri, tunasubiria ratiba tu,”- Bocco
Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco amesema kuwa timu yake imeanza mazoezi juzi na leo inafika siku ya tatu tangu ligi hiyo isimamishwe kutokana na kuibuka janga la virusi vya corona ambavyo zimezikumba klabu nyingi ulimwenguni. Bocco maarufu kama Adebayor amesema anatarajia ligi itakuwa ngumu kutokana na baadhi ya timu hazitakuwa tayari kukubali kushuka daraja hivyo zitapambana ili kubaki.