Michezo
Video: Tupogo ya Ommy Dimpoz yapata shavu kutoka kwa wachezaji wa Chelsea
Wachezaji wa Chelsea wanaujua wimbo wa Ommy Dimpoz, Tupogo. Thanks kwa mchezaji wa Tanzania anayechezea timu hiyo, Adam Nditi. Nditi amemrekodi mchezaji mwenzie akicheza wimbo huo huku wengine wakishuhudia. Kuonesha kuwa mchezaji huyo si mgeni kwa uchezaji wa mitindo ya Kiafrika, anaonekana akicheza mtindo wa Skelewu. Tazama video hiyo hapo chini.