Michezo

Video: Tuvumilie mtafahamu hatima ya Donald Ngoma – Yanga SC

By  | 

Msemaji wa klabu ya Yanga, Dismas Ten amesema kuwa wapo wachezaji ambao wamekaa nje kwa muda mrefu na kurejea kutetea timu zao ila mashabiki wavumilie kuhusu maamuzi ya timu hiyo juu ya mchezaji Donald Ngoma.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments