Habari

Video: Ugomvi wa Rick Ross na Young Jeezy kwenye BET Hip-Hop Awards

Jana usiku (kwa saa za Marekani) kwenye BET Hip-Hop Awards jijini Atlanta kulizuka fujo kubwa iliyodaiwa kusababishwa na pande mbili kati ya Rick Ross na Young Jeezy.

Wasanii hao wana beef ya muda mrefu hivyo tukio hilo halijawashangaza wengi.

Baada ya ugomvi huo kuzuka wapambe wao nao waliingilia kati na kuanza kurushiana matusi ya nguoni.

Miongoni mwa mastaa walionekana kuamua ugomvi huo ni pamoja na Funk Master Flex, Dj Khaled na Dj Drama.

Inadaiwa kuwa uchukuaji video wa tuzo hizo ulisimama kwa muda na ugomvi ulipomalizika Rick Ross alipanda stejini.

Angalia ilivyokuwa.

http://www.youtube.com/watch?v=P_4aLwZNGe0

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents