Habari

VIDEO: “Ulaji wa nyama na mayai ya kuku wa kisasa hauna madhara” – BUNGENI

Leo Novemba 16, 2018 kwenye Mkutano wa 13 kikao cha 9 cha bunge kinachoendelea Jijini Bungeni, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alitoa majibu ya swali liliulizwa na Zainabu Mndola Mbunge wa Viti maalumu lililohoji kuwa Uvugaji wa Kuku wa Kisasa unatumia madawa mengi je, madawa hayo hayana madhara kwa walaji.

Mhe. Ulega amesema kuwa, hakuna madawa mengi yanayotumiwa katika ukuzaji wa kuku hao, hivyo ulaji wa mayai na nyama ya kuku wa kisasa hauna madhara kwa binadamu yaliyothibitishwa kitaalamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents