Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Video: Unashangaa kuvaa viatu vya kike, hata sidiria navaa – Calisah

Mwanamitindo wa kiume ambaye haishiwi vituko, Calissa amefunguka kwa kudai kuwa watu wasimshangae kuvaa viatu vya kike kwani hata sidilia za kike anaweza kuvaa kama akiwekewa mkwanja mezani. Model huyo ameiambia Bongo5 kuwa milioni kumi pekee zinamtosha kumvalisha shela la harusi pamoja na sidilia kwa madai hiyo ni kazi yake ambayo ameichagua katika maisha yake.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW