Burudani

Video: Usishangae kuona Yamoto Band wakigawanyika – Inspector Haroun

By  | 

Mkongwe wa muziki nchini Inspector Haroun amewaambia wadau wa mzuki wasishangae kuona kundi la Yamoto Band likivunjika.

Akipiga stori na Bongo5, Insector amesema kuwa pengine vijana wameshaona wamefikia umri fulani wa kuweza kutafuta riziki tu, na wao sio watu wa kwanza kugawanyika.

“Pengine vijana wameshaona wamefikia umri fulani wa kuweza kutafuta riziki tu ,hilo halikatazwi kinachotakiwa tu ni respect na watambue wanapotoka wapi na wanaelekea wapi watanue wigo zaidi, ” amesema Insector.

Akaongeza kuwa kuvunjika kwa Yamoto Band sio jambo la ajabu kwani kulikuwepo na makundi mengi kama Wenge BCBG na Gangwe Mob.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments