Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Video: Utu wangu ndio bei yangu – Mh. Kubenea

Mbunge wa Ubungo(CHADEMA), Saed Kubenea amesema kuwa angetaka kuondoka Chadema angeondoka kwa dhamitra yake na si kwakununuliwa  kwababu yeye  hana bei utu wake ndio bei yake “Mimi nikiondoka Chadema kama ningekuwa na nia ya kuondoka ningeondoka kwa dhamira yangu sio kununuliwa sio mtu anasema mi nafika bei mi sina bei utu wangu ndio bei yangu nimejenga jina langu kwa zaidi ya miaka 15.”

Tazama video hii Kubenea akifunguka:

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW