Burudani

VIDEO: Vera Sidika aingia rasmi kwenye muziki, aachia single yake ya kwanza akiwa na Calisah

Mwanamke maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya, Vera Sidika ameamua kuingia kwenye muziki kwa kuachia rasmi wimbo wake wa kwanza ‘NALIA’.

Wimbo huo ndio jibu sahihi kwa watu ambao wiki nzima walikuwa wamechanganywa na zawadi ya gari ya Vera Sidika kwenda kwa Calissa.

Ukweli ni kwamba Calissa na Vera Sidika sio wapenzi bali ilikuwa ni kiki ya wimbo huu, ambapo watu wengi wamempongeza Vera kwa kuimba wimbo vizuri.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents