Soka saa 24!

Video: Vida aliyeimba 'Baba Awena' akifunguka kuhusu maisha ya muziki

Msanii chipukizi wa Bongo Flava Pili a.k.a Vida kutoka THT anayetamba na wimbo ‘Baba Awena’ aliomshirikisha Linex amefunguka exclusively kwa Bongo5 kuhusu mafanikio na jitiada zake za kuhakikisha muziki wake unasonga mbele.

Vida ameelezea pia kuhusu kukaa kwake kimya THT kwa kudai kuwa hakuwa anashindwa kuwashangaza mashabiki wake kimuziki bali ni utaratibu wa THT ambapo kabla ya kutoka ni lazima usome kwanza muziki.

Pia alisema aliamua kumshirikisha Linex kwenye wimbo wake wa kwanza kwakuwa anaukubali uimbaji wake.

Related Articles

Check Also

Close
Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW