Habari

Video: Vijana waachwe walime mpaka kwenye mito – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga marufuku viongozi wanaozuia wananchi wanaolima kando ya mito baada ya kupokea kero ya kijana aliyejulikana kwa Rosh Omary aliyefyekewa mazao yake kando ya mto Mkenge, Kyaka mkoani Kagera. Tazama video hii Rais Magufuli akiruhusu vijana kulima katika maeneo hayo:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents