Video Vixen Maggie Vampire akufunguka alivyopata fursa ya kufanya kazi na Wizkid (Video)

Bongo5TV imefanya mahojiano na mwanamitindo, mjasiriamali na video vixen @maggie_vampire Vempire ambaye amefunguka siri nzito kuhusu tasnia hiyo pamoja na kueleza jinsi alivyoweza kutunza heshima yake mpaka anakaribia kustaafu kazi hiyo.

Amedai tamaa za wadada wengi zinawafanya wajikute kwenye mtego wa kuharibikiwa na kuifanya tasnia ya video vixen kuonekana ya ovyo kwa jamii wakati kuna warembo ambao wanafanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa.

Mrembo huyo ambaye ameshiriki kwenye video nyingi za mastaa wa Tanzania na Wakimataifa alikuwa na ndoto ya kufanya kazi na muimbaji @wizkidayo ndoto ambayo ameitimiza mwishoni mwa mwaka 2020.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW