Burudani
Video vixer wa Harmorapa aichokoza BASATA (+Video)
Video vixer wa ngona ya ‘Shindu’ ya msanii wa muziki Harmorapa, Sasha ameichokoza Wizara ya Habari na BASATA kwa kuendelea kuachia picha tata mtandaoni.
Mrembo huyo alipost picha hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika “sauce👅😋.”