Burudani

Video: Wafahamu Asante Music wanaofuata nyayo za Navy Kenzo

Hapo zamani kwenye tasnia ya muziki Bongo kulikuwa na makundi mengi ambayo yalifanya vizuri lakini mwisho wake yaliishia kuvunjika kwa kila msanii kufanya kazi zake binafsi. Asante Music ni moja ya kundi jipya la muziki wa Bongo Flava ambalo linaundwa na wasanii wawili akiwemo Kalakala pamoja na mrembo Dolly, je kundi hili litaweza kufika walipofanikiwa kutoboa Navy Kenzo? Wafahamu zaidi wasanii hao kupitia video hiyo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents