Burudani

Video: Wafahamu watangazaji wa kipindi cha Niambie

Watangazaji wa kipindi cha redio cha Niambie, Noel Mwakalindile na Meena wameitembelea Bongo5 ili kuzungumzia zaidi kipindi chao.

Kipindi hicho cha dakika 15 huruka kila siku za Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Clouds FM ndani ya kipindi cha Club 10 na pia Jumapili saa 11 jioni ndani ya kipindi cha Total Request. Lakini pia hurushwa kupitia Choice FM.

Meena aka Shobo na Noel aka Akili Ndefu wanasema kipindi hicho ni cha burudani na kinawalenga vijana. Watazame zaidi hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents