Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: Walter Chilambo – Kuna Jambo

Msanii Walter Chilambo ameachia video yake mpya ya wimbo uitwao ‘Kuna Jambo’. Wimbo huo umetayarishwa na maprodyuza wawili ambao ni Eric Madaraka na Kenny Kennie, wakati huo huo video imeongozwa na director Moses Mphuru.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW