Soka saa 24!

Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo

Hivi sasa wanafunzi wa Shule za Sekondari huenda wakapata afueni ya kuelewa vitabu vya fasihi  baada ya kuwekwa katika sanaa ya maonyesho ya jukwaani yale yaliyoandikwa ndani yake.

Hayo yamebainika katika Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu katika ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), ambapo jana Jumatatu Machi 11, 2019 wanafunzi kutoka shule mbalimbali waliangalia maigizo ya kitabu cha ‘Passed like a Shadow na ‘Kilio Chetu’ kutoka kwa waigizaji wa  kikundi cha ‘Ngao Art’.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW