Habari

Video: Wananchi wazungumza baada ya Rais Magufuli kumsamehe Babu Seya na Papii Kocha

Baadhi ya wananchi wa Ilala jijini Dar es salaam, wametoa maoni yao baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutoa msamaha kwa wafungwa 8157 wakiwepo wanamuziki nguli, Babu seya na Papii Kocha. Tazama video hii uone maoni ya wananchi hao:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents