Video: Wasanii ni omba omba, sipendi kuwa kimbelembele kwenye misiba – Steve Nyerere

Msanii wa filamu Steve Nyerere kwa mara ya kwanza amefunguka kueleza sababu ya kuonekana kujitokeza zaidi kwenye misiba kuliko wasanii wengine ambapo amedai anafanya hivyo kwa kuwa wasanii hawana kitu ‘sisi wasanii ni omba omba’

Related Articles

3 Comments

Bongo5

FREE
VIEW