Burudani

Video: Wasanii tushindane ila tusichukiane – Professor Jay

Rapa huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliofanya show ya nguvu katika jukwaa la Wasafi Festival. Katika maoni yake ya ujio wa Tamasha la Wasafi Festival alisema “Matamasha kuwa mengi ni vizuri, isiwe tamasha moja ndio limetawala”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents