Burudani

VIDEO: Wasanii wa Arusha hatubebwi, Nikki Mbishi tengeneza system yako – Motra The Future

Rapper Motra The Future amefunguka juu ya kauli zinazotolewa na Nikki Mbishi kuwa kuna baadhi ya wasanii wanaotoka Arusha wanabwebwa na Media lakini hawana vipaji kabisa.

Akizungumza na Bongo5, Motrea amesema kuwa wasanii kutoka Arusha wanafanya kazi kwa bidii na wanapigania sana vipaji vyao ndio maana wanatusua huku akimshauri Nikki Mbishi ajiongeze kwa hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents