Video: Wasanii wamejitoa zaidi kwenye msiba wa Pancho kuliko hata misiba mingine – Wakazi

Msanii wa muziki wa hip hip, Wakazi amedai wasanii wengi wamejitoa zaidi kwenye msiba wa Pancho Latino licha ya kutoonekana kwa wakati wa kumuaga katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam. Rapa huyo amedai wasanii wengi walijua zoezi la kuaga litaa saa 5 na sio mapema kama lilivyofanyika.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW