Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Waziri Kigwangalla alivyokataa mabadiliko ya Simba na baadae kuyakubali!

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema yeye ni mmoja kati ya wanachama wa Simba ambao walikuwa wanakataa mabadiliko ya klabu hiyo lakini baada ya kuona mchangato wa wazi na huru wa mabadiliko hayo na nia thabiti akaona aunge mkono kwa kuwa ni jambo jema kabisa.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW