Habari

Video: Waziri Lugola atoa onyo kali watakaotumia tukio la MV Nyerere kuvuruga amani “Huyo anayebeza Serikali anaishi nchi gani?”

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema wote wanaotumia ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.

Lugola ameyasema hayo mara baada ya kuwasili kwenye eneo la tukio kisiwani Ukara na kuongeza kuwa Serikali haipo tayari kupitia tukio hilo kuchonganyishwa na wananchi wake.

“Hatuko tayari kupitia tukio hili kuchonganisha serikali na wananchi wake. Tutakaowabaini tutawakamata, kusijitokeze mtu ama kikundi cha watu ama kwa ishara ama kwavitendo kuvuruga amani, usalama na utulivu tuliyonao. ”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents