Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: WCB Wasafi, Diamond Platnumz , Harmonize , Quen Darleen , Lava Lava , Maromboso, Rich Mavoko & Rayvanny – Zilipendwa

Wasanii wanaofanya kazi chini ya lebo ya muziki ya WCB Wasafi, pamoja na boss wa lebo hiyo Diamond Platnumz na wasanii wake Rayvanny, Harmonize , ,Lavalava , Queen Darleen, Rich Mavoko na msanii wa zamani wa Yamoto Band Marombosso ‘Mbosso’, wameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Zilipendwa’, tazama hapa chini alafu toa komenti yako.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW