Burudani

Video: Wema ni ‘feki’, mimi naishi maisha yake halisi – Gigy

Video Vixen, Gigy Money amedai alikuwa anampenda malkia wa filamu, Wema Sepetu kipindi cha nyuma wakati hayajui maisha yake halisi.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy ambaye haishiwi matukio, amedai amegundua muimbaji huyo ana maisha feki tofauti na alivyokuwa akimfikiria nyuma.

“Wema ni mtu ambaye she is fake,” alisema Gigy. “Ukimuona mtandaoni ni tofauti na alivyo, mimi nilikuwa kila siku navyoenda shuleni lazima nipitie meza ya magazeti kumuangilia Wema kafanya nini? sasa hivi mimi naishi hayo maisha. Sasa huwezi kuniambia she is real, mimi naishi maisha yake halisi sio feki ndio maana kwake inakuwa changamoto na sio kwake tu kwa wasichana wengi,”

Kujua mengi aliyofunguka angalia video hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents