Videos
Video: Wizkid f/ Drake – Come Closer
Wizkid ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Come Closer’ aliomshirikisha rapper Drake. Mara ya kwanza wimbo huu ulipewa jina la ‘Hush Up the Silence’ kabla ya kubadilishwa na kupewa jina la sasa. Imeongozwa na Daps.