Videos

Video ya Bata yabaniwa

Image
Kundi la muziki la Off side trick limeibuka na kusema kuwa video yao mpya kabisa ya Bata haichezwi mara nyingi na televisheni nyingi hapa nchini kwa sababu ya waigizaji waliomo kujiachia kupita maelezo na kufanya iwe vigumu kuangaliwa na familia nzima. Wanamuziki hao sasa wamelazimika kutengeneza video nyingine ili kupunguza makali na itakuwa hewani muda si mrefu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents